Friday, October 21, 2016

KINGA NA TIBA YA UKOSEFU WA AJIRA NA KAZI


Kila Kijana analia MTAJI, AJIRA, KAZI. Nini Kilichopungua ambacho hawakukipata katika taasisi za Elimu walizopitia? NYI MOVEMENT tunatoa Kinga na Tiba ya matatizo hayo. Tukaribishe katika Kikundi chako, Kanisa lako, Mtaa wako, Shuleni, Chuoni... ELIMU NI ZAIDI YA VYETI. 0764793105/0625493878




No comments:

Post a Comment